MSONGAMANO MZITO WA MAGARI WALETA CHANGAMOTO KUBWA
Msongamano mkuu wa magari, wawapa changamoto nzito madereva na abiria,katika barabara kuu ya kuelekea Miritini,jomvu,mikindani n.k
Hili linaendelea kujitokeza kwamba madereva wa Magari ya kusafirisha mizigo nchini ikiwemo Nairobi n.k,wakitumia barabara moja pamoja na gari za abiria na hata gari ndogo za kibinafsi.Abiria ni wenye kuchelewa kwenye shughuli zao nao wanafunzi wakichelewa masomoni.
"Kazi yetu ya Matatu imekuwa na changamoto pia maana pesa nyingi huishia kwa mafuta na kwa tajiri."Alisema Dereva wa Matatu.Wananchi wameiyomba serikali isaidie pakubwa kutatua tatizo hili kuondosha changamoto hizi kwa madereva na abiria hususan wanafunzi.Vilevile,magari ya mizigo yatengewe barabara husika kupunguza tatizo hili.
Comments
Post a Comment