Posts

Showing posts from March, 2021

TANZANIAN PRESIDENT JOHN MAGUFULI IS DEAD

Tanzanian vice president Samia Suluhu announced that Magufuli died on a heart failure on Wednesday at around 6p.m. Suluhu addressed to the media that Magufuli has been diagnosed with 'CARDIAC ATRIAL FIBRILLATION',a disease he has fought for over 10 years during his life time. The funeral ceremony will be announced soon, while Tanzania is observing 14 days of mourning. Mr.Magufuli had first been admitted to the Jakaya kikwete cardiac hospital on 6th of March , where he was then discharged later, Ms Hassan said on Television State.                                            However he was then urgently taken again to hospital on March14 ,after feeling unwell. Opposition leader Zitto Kabwe tweeted,"he will be remembered for the developments he made in our country."

MSONGAMANO MZITO WA MAGARI WALETA CHANGAMOTO KUBWA

  Msongamano  mkuu wa magari, wawapa changamoto nzito madereva na abiria,katika barabara kuu ya kuelekea Miritini,jomvu,mikindani n.k Hili linaendelea kujitokeza kwamba madereva wa Magari ya kusafirisha mizigo nchini ikiwemo Nairobi n.k,wakitumia barabara moja pamoja na  gari za abiria na hata gari ndogo za kibinafsi.Abiria ni wenye kuchelewa kwenye shughuli zao nao  wanafunzi wakichelewa masomoni. "Kazi yetu ya Matatu imekuwa na changamoto pia maana pesa nyingi   huishia kwa mafuta na kwa tajiri."Alisema Dereva wa Matatu.Wananchi wameiyomba  serikali isaidie pakubwa kutatua tatizo hili kuondosha changamoto hizi kwa madereva na abiria hususan wanafunzi.Vilevile,magari ya mizigo yatengewe barabara husika kupunguza tatizo hili.